BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Urusi yaikana Marekani kuhusu mazungumzo ya Saudi Arabia
Urusi inasema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina yake na Marekani yatakayofanyika Saudi Arabia kuhusu kuondoa mizozo
Zijue nchi zinazoagiza umeme kwa wingi kutoka nje na sababu za kufanya hivyo
Licha ya nchi kadhaa kuagiza umeme kutoka nje katika mataifa ya Afrika, lakini sehemu kubwa ya nchi zinazoagiza umeme mwingi kutoka nchi nyingine ni kutoka Mataifa ya Ulaya.
Wanasayansi wagundua mfumo mpya wa kinga ya mwili
Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu - utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya maambukizi.
Chakula kinachozalishwa maabara kuanza kuuzwa mitaani
Vyakula vilivyotengenezwa maabara vinakuzwa kuwa tishu za mimea au wanyama kutoka kwenye seli ndogo.
Lipedema: 'Ugonjwa mpya' unaothiri 10% ya wanawake duniani
Uzito mkubwa kwenye miguu unaweza kusababisha maumivu ya magoti, kupungua kwa nguvu za ligamenti, na mabadiliko katika kutembea.
Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya mikoa ya kaskazini
“Serikali yenu inachukua hatua ya kununua umeme nje maalum kwa mikoa ya kaskazini ili umeme upatikane masaa 24 bila kukatika...
Umuhimu wa Putin kwa Trump: Mkakati wa kuitenga China?
Rais wa Marekani Donald Trump anatafuta kuimarisha uhusiano na kufikia ukaribu zaidi na Urusi, jambo ambalo linaweza kubadilisha mkondo wa sera za nje za Marekani kwa miongo kadhaa.
Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori
Jeshi la Marekani linajulikana kwa nguvu zake kubwa. Hata hivyo, katika nchi maskini sana na iliyo nyuma kama Somalia, jeshi lile lile la Marekani lilikuwa katika hali mbaya.
Tetesi za soka Jumatatu: Chelsea kutoa ofa kwa Jobe Bellingham
Chelsea wanapanga kutoa ofa kwa kiungo wa kati wa Sunderland, Muingereza Jobe Bellingham mwenye umri wa miaka 19.
Je wajua Ramadhani itakuwa mara mbili mwaka 2030?
Kufunga mara mbili kwa mwaka kulitokea mara ya mwisho mwaka 1997.
Fahamu virusi hatari vinavyotokana na kinyesi cha panya
Mara nyingi dalili huanza kwa uchofu, homa na maumivu ya misuli, hii hufuatwa kwa maumivu ya kichwa, kisunzi, baridi mwilini na matatizo ya tumbo.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Gumzo mitandaoni
UN inaonya viongozi wa Sudan Kusini kuwa wanahatarisha kuvunjika kwa makubaliano ya mpango wa amani
Uchunguzi wa ripoti hiyo ulibaini kuwa mnamo mwaka 2024 mifumo ile ile ya ukiukwaji mkubwa katika maeneo yale yale, mara nyingi inahusisha ofisi zile zile za umma na za kijeshi.
Hupaswi kufanya mambo haya ikiwa unakosa usingizi
Ukosefu wa usingizi ni tatizo ambalo linaweza kuwapata wengi wetu wakati fulani wa maisha, lakini kwa baadhi ya watu, linapita na kuwa tatizo kubwa zaidi.
Waumini wa dini wanaoamini katika kufunga hadi kufa
Wiki tatu baada ya kugundulika kuwa na saratani ya shingo ya kizazi, Sayer Devi Modi mwenye umri wa miaka 88 aliamua kutotafuta matibabu. Badala yake, alichagua kufunga hadi kufa.
Je, ni kweli Illuminati 'wanaudhibiti' ulimwengu kwa siri?
Ujerumani inahusishwa na asili ya Illuminati. Kulikuwa na kundi la ajabu lililoitwa Bavarians. Hii ilianza mnamo 1776. Watu wenye elimu walikusanyika na kukosoa utaratibu na muundo wa kidini.
Je, Rwanda inaweza kujitegemea bila misaada?
Inakadiriwa kuwa Rwanda inapokea zaidi ya dola bilioni 1 ya msaada wa kigeni.
Tunayofahamu kuhusu mkataba wa kisiasa kati ya Rais Ruto na Raila
Rais William Ruto na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kiongozi mkongwe wa upinzani wametia saini mkataba wa kufanya kazi baada ya wiki kadhaa za mashauriano nchini kote kuhusu mkataba huo wa kisiasa.
Unajua joto kali la chumbani ni hatari kwa figo na moyo wako?
Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza kuwa joto la chumbani liwe angalau 18°C (64.4°F) ili kulinda afya dhidi ya madhara ya baridi
Barua ya maridhiano ya Zelensky kwa Trump inaonyesha hana chaguo jingine
Mazungumza ya malumbano huko Washington katika Ikulu ya rais, na Trump "kusitisha" misaada ya kijeshi ya Marekani, kumemlazimu Zelensky kupigia goti dira ya amani ya Trump.
Idjwi: Kisiwa katikati ya uwanja wa vita DRC, lakini ndicho salama zaidi
Kisiwa cha Idjwi nchini DRC kimekuwa kikipokea mamilioni ya watu wanaoathirika na vita nchini humo na nchi jirani ya Rwanda
Je, Ulaya ina ubavu wa kuisaidia Ukraine kijeshi ikiwa Marekani itakaa pembeni?
Baada ya mzozo ulioibuka Ikulu ya Marekani, kati ya Rais Donald Trump na Zelensky, umeweka rehani uhusiano wa Marekani na Ukraine kuhusu kumaliza vita vya Ukraine
Wafahamu wanamgambo 'wanaochochea uhasama' baina ya DRC na Rwanda
Kama umekuwa ukifuatilia mzozo unaoendelea wa DRC, bila shaka umesikia herufi FDLR zikitajwa mara kwa mara hasa Rwanda inapohusika. Lakini je, FDLR ni akina nani hasa?
Wasiwasi waibuka Trump kukifanya Kiingereza kuwa lugha rasmi Marekani
Kati ya wazungumzaji bilioni 1.52 wa lugha ya Kiingereza duniani, karibu robo (19.74%) wapo Marekani.
Michezo
Afya yako
Waridi wa BBC
Sikiza / Tazama
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 11 Machi 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 10 Machi 2025, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 10 Machi 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 10 Machi 2025, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani